Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023

SIKU 19 YA 32

Huyo manabii wote humshuhudia, ya kwamba kwa jina lake kila amwaminiye atapata ondoleo la dhambi. Petro alipokuwa akisema maneno hayo Roho Mtakatifu akawashukia wote waliolisikia lile neno(m.43-44). Msingi wa Roho Mtakatifu kuweza kuwashukia watu ni ondoleo la dhambi.Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu(Yn 1:29). Kwa kifo chake msalabani Yesu ametupatanisha na Mungu Mtakatifu. Je, umeshatubu na kuanza kuisifu damu ya Yesu moyoni mwako?

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Desemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Matendo ya Mitume. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/