Miujiza ya YesuMfano
Lazaro Afufuliwa Kutoka Wafu
Yesu amfufua Lazaro.
Swali 1: Yesu alifahamu alikuwa karibu kufanya nini; ni kwa nini alilia pale nje ya kaburi?
Swali 2: Je, jibu la Yesu kwa Mariamu anayelia kuhusiana na kifo cha Lazaro inakusaidiaje
kumuamini katika hali inayohitaji imani ambayo utakumbana nayo?
Swali 3: Unaweza kutumiaje tukio hili kusaidia watu katika jamii yako kumkubali Yesu kama wa
pekee ambaye anaweza kuwapa uzima wa kweli?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg