Miujiza ya YesuMfano
Mafarisayo Wachunguza Kuponywa Kwa Kipofu
Wafarisayo wachunguza alinyeponywa na wazazi wake.
Swali 1: Katika upinzani mkali sana, mtu ambaye alikuwa kipofu anashuhudia kumhusu Yesu.
Je iamni yako imetiwa changamoto kiasi gani katika hali kama hii?
Swali 2: Baada ya kukabiliana na Yesu ni nani na kile anafanya, ni kwa nini unafikiri watu wengi
bado hawataki kuamini?
Swali 3: Imani kwa Yesu inaweza kutusababisha kutengwa na makundi mengine. Je, umewahi
kushuhudia wakati kama huu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg