Miujiza ya YesuMfano
Kuwalisha watu Elfu Tano
Yesu analisha watu laki tano kutumia vipande tano za mkate na samaki wawili.
Swali 1: Je, kulisha watu katika hali hii inakupa matumaini kwa njia gani sasa na ahadi ya siku
zijazo?
Swali 2: Je, Yesu ametumiaje rasilmali yako kiasi ambapo huwezi kudhania?
Swali 3: Yesu alikuwa akimjaribu Filipo. Ni kwa njia gani na wakati gani amewahi kukujaribu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg