Miujiza ya YesuMfano
Yesu Amponya Mtu Penye Bwawa La Bethzatha
Yesu anaponya mlemavu, lakini Yesu hataki ajue ni yeye aliyemponya.
Swali 1: Ni kwa kiasi gani unafikiri ulemavu na maradhi husababishwa na dhambi?
Swali 2: Viongozi wa Kiyahudi walipinga kuponya siku ya Sabato. Ni kitu gani kinaweza
kukushawishi wakati unapojihisi huwezi kumsaidia mtu? Kwa nini?
Swali 3: Unafikiri ni sababu zipi zinawafanya watu kutokubali msaada wake Yesu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg