Miujiza ya YesuMfano
Yesu Amponya Mwana Wa Afisa
Afisa mkuu amwomba Yesu kumponya kijana wake anayekufa. Yesu aponya kijana wake na
jamii yake yote yaamini Mungu.
Swali 1: Kunayo kituo cha imani Yesu amekusihi kuchukua chenye umekuwa ukipuuza? Elezea.
Swali 2: Linganisha wakati ule Yesu alivyo jibu moja ya maombi yako.
Swali 3: Mtumishi wa serikali alifahamu kwamba Yesu angeliponya mtoto wake. Tunaweza
kumwamini Yesu zaidi aje kuweza kutupa jawabu kwa matatizo yetu.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg