Miujiza ya YesuMfano
Mtu Aliyezaliwa Kipofu Kaponywa
Yesu aponya kipofu kuonyesha Nguvu za Mungu.
Swali 1: Je, unafahamu mtu mmoja ambaye alikuwa mgonjwa sana ama aliyelemaa na
waliambiwa hii inaonyesha dhambi maishani mwao? Yesu angesema nini?
Swali 2: Wanafunzi waliuliza, “Kilichosababisha mtu huyu kuwa kipofu ni nini? Lengo la Yesu
lilikuwa kumponya yule mtu kipofu. Je, kanisa linahitaji kujifunza nini kutokana na hili?
Swali 3: Haingelikuwa jambo rahisi kwa yule kipofu kufanya yale Yesu alimwambia. Ni
changamoto zipi zimewahi kukumba imani yako kwa kufuata maagizo za Yesu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg