Miujiza ya YesuMfano
Lazaro Afa
Lazaro, rafiki ya Yesu, afa.
Swali 1: Ni uongo upi ambao ulimwengu uko nao kuhusu kifo na maisha yajayo? Unahofia nini
hasa kutokana na kufa?
Swali 2: Je, kwa Yesu kuhairisha ombi la Mariamu na Martha inakusaidia kuelewa nini katika
maisha yako ya kuomba?
Swali 3: Wanafunzi walielewa hatari ya kumfuata Yesu kwenye ardhi hatari. Ungefanya nini
ikiwa Yesu anakuita ili ufanye kitu kilicho hatari?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg