Miujiza ya YesuMfano
Muujiza ya Kwanza Ya Yesu
Yesu afanya muujiza katika harusi. Abadilisha maji kuwa mvinyo.
Swali 1: Ni mila gani za kindoa zinafanyua unapoishi?
Swali 2: Je, tunaweza kuwasaidia wenzetu kwa njia gani kukumbuka furaha isiyo na mwisho
ambayo Bwana wetu anatupa inayostahili kusherehekewa?
Swali 3: Je, Yesu ameleta uaminifu katika maisha yako? Kama ni la, elezea ni kwa nini
unasitasita?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg