Hadithi ya PasakaMfano
Yesu Anyenyekea
Yesu aosha miguu ya wanafunzi wake.
Swali 1: lkiwa kikundi cha Wakristo kitaamua kuishi jinsi hii, itabadili aje ndoa zao, jamaa,
na marafiki?
Swali 2: Ni kitu gani kinachokuvutia kuhusu Yesu kutawadha wanafunzi wake miguu?
Swali 3: Unaweza kutumiaje mafundisho haya kwa vitendo nyumbani mwako,
ama kanisani juma hili?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg