Hadithi ya PasakaMfano
Petro Amkana Bwana Yesu
Petro akana Yesu mara tatu, na Yuda ajinyonga.
Swali 1: Ni nini kinacho leta utofauti kati ya mtu kama Yuda na mtu kama Petero? Tutajuaje njia
ipi tutakayo fuata?
Swali 2: Unafikiri kilicho msababisha Petro kukana uhusiano wake na Yesu vikali ni nini? Ni kitu
gani kinaweza kukusababisha wewe pia kufanya hivyo?
Swali 3: Wakristo wanaweza kukana kwamba wanamfahamu Yesu kwa njia gani siku hizi?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg