Hadithi ya PasakaMfano
Yesu Afungwa
Yesu apelekwa kuuwawa na wahalifu wawili.
Swali 1: Kama ungelikuwa Simoni wa Sirene, ungekuwa na mawazo yapi unaposaidia Yesu
kuubeba msalaba?
Swali 2: Kama ungelikuwa kwenye umati uliomtazama Yesu akieleza kuwaua ungefanya nini?
Swali 3: Ni kwa nini unadhani watu wanamuona Yesu kama mwenye hatia badala ya mfalme?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg