Hadithi ya PasakaMfano
Kuzikwa Kwa Yesu
Yesu azikwa katika kaburi ya Yosefu wa Arimathea.
Swali 1: Je, uoga wako kwa wengine na upendo wako kwa yesu huwa inazozana?
Swali 2: Yusufu wa Arimathaya na Nikodemo walikuwa “wanafunzi wa kisiri” wa Yesu. Unadhani
ni kwa nini walificha ahadi zao? Je hicho kilikuwa kitu cha maana kufanya? Ni wakati gani
Wakristo hawastahili kuonyesha ahadi zao?
Swali 3: Kutokana na kutokufaulu kwako na pia hofu, unafikiri unaweza kufanya nini ili
kuonyesha upendo wako kwa Yesu?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg