Hadithi ya PasakaMfano
Ufufuo wa Yesu
Maria Magdalene na Maria wanaenda kaburini mwa Yesu, na malaika anawaambia ya kwamba
Yesu amefufuka kutoka wafu.
Swali 1: Kufufuka kwa Yesu ina tofauti gani na dini yako ya awali na ulichokuwa unaamini awali?
Swali 2: Kama ungeiishi wakati huo, ni ushahidi gani ungehitaji kukushawishi kwamba. Yesu
alifufuka kutoka wafu?
Swali 3: Ni kitu gani kinachokufanya kuamini ama kuwa na shauku kwamba mwili wa Yesu
ulifufuka?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg