Hadithi ya PasakaMfano
Kifo Cha Yesu
Yesu afa, na pazia ya hekalu ikapasuka kwa vipande viwili.
Swali 1: Ni matendo gani mbalimbali yalitokana na kifo cha Yesu pale msalabani? Je, watu
mbalimbali siku hizi wana maoni gani juu ya kifo chake? Je wewe una maoni gani juu ya kifo
chake?
Swali 2: Unaelezeaje mru asiyeamini kuhusu umuhimu wa kifo cha Yesu?
Swali 3: Kifo cha Yesu kinagusaaje maisha yako na hali ya maisha ya yako?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg