Hadithi ya PasakaMfano
Yesu Awatuma Wanafunzi Wake
Yesu awatuma wafuazi wake kueneza Habari Njema duniani.
Swali 1: Je ni vipi tunafanya watu kuwa wanafunzi? Unafanya nini binafsi kusaidia kukamilisha
zoezi hili?
Swali 2: Je, tunaweza kutekelezaje agizo kuu katika muktadha ya jamii, kazi, jamaa, na marafiki?
Swali 3: Unafikiria tunaweza kutimiza agizo lake la kwenda kote ulimwenguni katika uhai wetu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg