Hadithi ya PasakaMfano
Pilato Ajaribu Kumpa Yesu Uhuru
Pilote aamini Yesu hana hatia, lakini umati unataka Yesu asulubiwe.
Swali 1: Unafikiri kwanini Pilote alitaka sana kumweka huru Yesu?
Swali 2: Kwa nini unafikiri watu wengi wanaamua kuweka Yesu msalabani badala ya kumchukua
kama Mfalme leo hii?
Swali 3: Pilato alitoa uamuzi kulingana na tamaa na hofu badala ya kile kilicho haki. Je hiyo
imewahi kukutendekea? Ulifanya nini?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg