Hadithi ya PasakaMfano
Askari Wamdhihaki Yesu
Umati unataka Baraba kuwachiliwa badala ya Yesu, na Pilote aamuru Yesu apigwe.
Swali 1: Ni nini hutokea wakati watu hawapati utambulisho sahihi wa Yesu?
Swali 2: Inakufanya kujihisi aje kwa vile Yesu alipitia majaribu na mateso wakati ambapo
angeweza kutumia uwezo wake mkuu kuponyoka?
Swali 3: Ni kwa nini unafikiri watu bado wanawakubali watu wenye tabia zisizo sawa badala
Yesu?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg