Hadithi ya PasakaMfano
Yesu Mbele ya Pilato
Yesu ahojiwa na Pilato.
Swali 1: Kwanini utambulisho wa Yesu ni swala la umuhimu sana katika ukristo?
Swali 2: Kwa vile alisema wazi kwamba Ufalme wake sio ya dunia hii, unaweza kuelezeaje jinsi
ufalme wake ulivyo?
Swali 3: Pilato aliuliza, “Ukweli ni nini?” Je watu wengi hujibu aje swali hili? Wewe utajibu aje?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg