Hadithi ya PasakaMfano
Chakula cha Mwisho
Yesu ala mlo wa mwisho wa jioni na wanafunzi wake.
Swali 1: Unafikiri ungefanya nini wakati Yesu aliposema mmoja wao angemsaliti? Je uko na
uwezo wa kumsaliti Yesu?
Swali 2: Kama ungelifahamu mapema kwamba kuna mtu angekusaliti, ungelimtendeaje mtu
yule? Linganisha hiyo na jinsi Yesu alivyomtendea Yuda.
Swali 3: Ni kwa nini inawezekana kwa Shetani kumuingia mfuasi wa Yesu na kumshawishi
kutenda dhambi mbaya?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg