Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023

SIKU 23 YA 31

Kama watu wa Mungu, Israeli walipaswa kumheshimu Mungu kama baba au bwana wao katika matoleo yao. Lakini walimtolea sadaka ambazo kamwe wasingethubutu kumpa mkuu wao wa nchi. Mungu anatangaza wazi kuwa haridhishwi na hali hiyo. Ni afadhali ibada zao zisifanyike kabisa. Sisi, je, ni wachoyo kiasi cha kuona taabu kumtolea Mungu? Ni bora tubadilishe tabia na kumtolea Mungu vitu vyenye thamani kwani yeye ndiye mpaji wa vyote.

siku 22siku 24

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023

Soma Biblia Kila Siku Januari/2023 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha