Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023

SIKU 26 YA 31

Makuhani wanalaumiwa kwa kutowajibika ipasavyo katika nyadhifa zao. Hawakuishi kama viongozi. Maisha yao yalikuwa ushuhuda mbaya kiasi kwamba wakawa chanzo cha hali mbaya ya kiroho kwa Israeli. Somo linatangaza adhabu yao kama wasipojirekebisha. Kwa kuwa Wakristo wote ni makuhani katika kizazi hiki tunachoishi, unabii huu ni wa maana sana kwetu. Kama wajumbe wa Bwana maisha yetu ni ya maana. Wajibu wetu ni kuishi maisha matakatifu na kuwafundisha wengine kumheshimu Mungu. Vinginevyo tutahukumiwa.

Andiko

siku 25siku 27

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023

Soma Biblia Kila Siku Januari/2023 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha