INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMI NA MOJAMfano
YUDA ANAKUBALI KUMSALITI YESU
Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani na kuuliza,
“Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?”
"Wakamlipa vipande thelathini vya fedha.Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wasaa mzuri wa kumsaliti Yesu."
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana
More
Tunapenda kushukuru GNPI Afrika kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://gnpi-africa.org