INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMI NA MOJAMfano
SHAURI LA KUMUUA YESU
Yesu alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake,
“Mnajua kwamba baada ya siku mbili itakuwa Pasaka, naye Mwana wa Adamu atasalitiwa ili asulibiwe.”
"Basi viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakakusanyika katika jumba la utawala la Kuhani Mkuu, jina lake Kayafa.
Wakafanya shauri ili kumkamata Yesu kwa siri na kumwua.
Lakini wakasema, “Isiwe wakati wa sikukuu, la sivyo kutakuwa na ghasia miongoni mwa watu.”
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana
More
Tunapenda kushukuru GNPI Afrika kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://gnpi-africa.org