Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 26:14-15

Mt 26:14-15 SUV

Wakati huo mmoja wa wale Thenashara, jina lake Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani, akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.