Mathayo 26:14-15
Mathayo 26:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili, akaenda kwa makuhani wakuu, akawaambia, “Mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi Yesu kwenu?” Wakamhesabia vipande thelathini vya fedha
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati huo mmoja wa wale Kumi na Wawili, jina lake Yuda Iskarioti, aliwaendea wakuu wa makuhani, akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.
Shirikisha
Soma Mathayo 26