Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:14-15

Mathayo 26:14-15 SRUV

Wakati huo mmoja wa wale Kumi na Wawili, jina lake Yuda Iskarioti, aliwaendea wakuu wa makuhani, akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.

Soma Mathayo 26