Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:14-15

Mathayo 26:14-15 NEN

Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani na kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha.