Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:14-15

Mathayo 26:14-15 BHN

Kisha, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili, akaenda kwa makuhani wakuu, akawaambia, “Mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi Yesu kwenu?” Wakamhesabia vipande thelathini vya fedha