YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 02/20Sample

Soma Biblia Kila Siku 02/20

DAY 7 OF 29

Mungu anapotupa taarifa tuzifanyie kazi. Tusinyamaze na taarifa sahihi za uhalifu, tukihofia madhara yake au kufikiria hazituhusu. Taarifa zifike mahali sahihi. Mordekai na Esta walisimama katika nafasi zao, na mfalme akapata taarifa. Baadaye tutaona jinsi Mungu alivyotumia utamaduni wa kuweka kumbukumbu ili kumwinua Mordekai na kumpa kibali cha mfalme. Je, unatoa taarifa sahihi, na kuweka kumbukumbu za matukio muhimu? Yawezekana zitakuletea baraka baadaye wakati usipotegemea. Mtu mwovu hupata mshahara wa udanganyifu; apandaye haki ana thawabu ya hakika(Mit 11:18).

Day 6Day 8

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 02/20

Soma Biblia Kila Siku 02/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Esta. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu.

More