YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 02/20Sample

Soma Biblia Kila Siku 02/20

DAY 6 OF 29

Wakati wa kujihudhurisha mbele ya mfalme umefika. Kila mwanamwali alipewa kila akitakacho (m.13: kila akitakacho [mwanamwali]hupewa kwenda nacho kutoka katika nyumba ya wanawake ili kuingia katika nyumba ya mfalme). Wewe ungetaka nini kama ukikubaliwa hivyo? Esta hakutaka kitu ila vile vilivyoagizwa na Hagai, ... mwenye kuwalinda wanawake (m.15). Esta alijua ni mahali gani pa kuegemea ili apendeze. Mara nyingi tunapenda kutegemea vipawa vyetu kiasi cha hata kudharau wasimamizi wenye uzoefu aliowainua Mungu kutusaidia. Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali kwa Roho wangu, asema Bwana wa majeshi (Zek 4:6).

Day 5Day 7

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 02/20

Soma Biblia Kila Siku 02/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Esta. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu.

More