YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 02/20Sample

Soma Biblia Kila Siku 02/20

DAY 2 OF 29

Katika safari ya kwenda mbinguni, mwanadamu yeyote anakabiliwa na mtihani wa kuchagua mojawapo kati ya njia hizi mbili zilizotajwa katika somo. Njia pana ambayo wengi huipenda, inaonekana ni rahisi kuiendea, lakini mwisho wake ni upotevuni. Walimu wake huonekana kama kondoo, lakini kumbe ni hatari kama mbwa mwitu. Na njia ya pili ni nyembamba na ya kujikana kwa ajili ya Bwana Yesu. Ndiyo inayowapeleka watu kwenye uzima wa milele. Wanaopita njia hii, hutii na kusikiliza sauti ya Yesu. Wamekubali kuacha mambo ya dunia. Je, wewe umechagua njia ipi?

Day 1Day 3

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 02/20

Soma Biblia Kila Siku 02/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Esta. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu.

More