Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

SIKU 12 YA 31

Mungu amejifunua kwetu kwa njia ya uumbaji wake na kwa ufunuo maalumu ambao ni Biblia. Hapa mwimbaji anatualika tushiriki naye katika kumsifu Mungu kwa furaha. Anaonesha sababu za Mungu kustahili kusifiwa, akitaja uaminifu wake ulivyo kwa vizazi vyote, kazi zake zote alizozifanya katika uumbaji na kuendelea kuzifanya hata leo, pamoja na utawala wake katika matukio ya historia. Na hayo yote kwa sababuYeye alisema, ikawa(m.9). Hakika Neno la Mungu lastahili kupewa sifa na kila kiumbe.

siku 11siku 13

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Oktoba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Oktoba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha