Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023

SIKU 16 YA 31

Ni jinsi gani pendo la Mungu lilivyo kuu na la ajabu! Kwa kumtoa Mwana wake wa pekee, Yesu Kristo, Mungu anawatangazia watu wa ulimwengu kutenguliwa kwa hukumu ya kuangamia milele iliyowakabili. Sasa hawahukumiwi tena wakimwamini Yesu Kristo. Mahali pa mauti ya milele kwao, Mungu ameweka uzima wa milele (m.18). Chagua leo kuishi nuruni. Ahadi ya Mungu kwako ni kwamba unao uzima wa milele kwa kumwamini Yesu Kristo, Mwana pekee wa Mungu. Je, hali ikoje kwa wasiomwamini Yesu? Tafakari m.18 unaosema, Amwaminiye [Mwana pekee wa Mungu] hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.

siku 15siku 17

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023

Soma Biblia Kila Siku Januari/2023 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha