Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Aprili/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Aprili/2022

SIKU 15 YA 30

Leo ni Ijumaa kuu, siku ya kukumbuka ukombozi wetu uliopatikana kwa Yesu kuchukua deni letu la dhambi pale msalabani. Biblia inasema kuwa kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Mungu mwenyewe alithibitisha habari hii njema kwa kupasua pazia la hekalu vipande viwili toka juu. Jinsi ya kupokea uponyaji ni kufanana na yule mwizi pale msalabani aliyetubu na kumwomba Yesu ampokee katika ufalme wake. Tusifanane na yule mwizi wa pili aliyeshirikiana na wengine kumdhihaki Yesu.

siku 14siku 16

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Aprili/2022

Soma Biblia Kila Siku Aprili/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Aprili pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Luka na Tito. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure.

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabblia.or.tz/