Jolt ya FurahaMfano
Maneno ya Paulo katika kifungu hiki cha maandiko yana nguvu kwetunsisi tunaoishi karne ya 21 na tunatamani kuishi maisha ya kumpendeza Bwana. Maneno ya Paulo kuhusu kuishi maisha ya maana na nguvu yanachoka mila zetu na kutuamsha kwamba tumepumbazwa na kuamini kinachoelezwa kwenye luninga na kusomamkwenye magazeti na majarida. Kama lengo lako ni kuishi maisha ya ushindi, utasikiliza na kuamini maneno haya ya kale ambayo bado yana nafasi leo kama yalivyokuwa miaka 2,000 iliyopita.
Eneo la msingi kabisa katika maisha ya kikristo yametangazwa katika kila mwanzo wa maandiko, "Hatimaye, iweni hodari katika Bwana na nguvu ya ukuu wake!" Paulo anatangaza kwamba eneo muhimu sana la mafunzo ambalo alimwambia kila askari ni kuwa hodari katika Bwana.
Mapenzi ya Mungu kwa maisha yako ni kuwa mkristo hodari ambaye hayumbishwi kirahisi upepo wa maisha au mvumo wa hali ngumu ya maisha. Mungu amekuwezesha na wewe kujivika nguvu yake!
Unapomwajiri mkufunzi binafsi, anaweza kukwambia kitu cha kufanya na hata mpango wa mazoezi ambayo yanafaa kwa aina ya mwili wako. Lakini, kitu ambacho hawawezi kufanya ni kuhamisha umbo lao la mwili na ustahimilivu wa mazoezi na kukupa wewe. Ni Mungu tuu awezaye kufanya hivyo!

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Biblia inatuambia kwamba "Katika uwepo wake kuna furaha tele" na kuwa "furaha ya Bwana ni nguvu yetu". Furaha sio hisia tu bali ni tunda la Roho na mojawapo ya silaha bora katika gala letu la kupigana na kuvunjika moyo, huzuni na kushindwa. Tumia siku 31 ukijifunza ni nini Biblia inasema kuhusu Furaha na kujiimarisha kuwa Mkristo mwenye Furaha bila wasi wasi.
More
Tungependa kushukuru Carol McLeodkwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.justjoyministries.com