Jolt ya FurahaMfano
Ni ushauri wa ajabu sana uliotolewa na mtu aliyepo gerezani "furahini katika Bwana siku zote! Tena nasema furahini!"
Huu ulikuwa ni ushauri wa Paulo uliotangazwa kutoka katika gereza la karne ya kwanza ya Kirumi kwenda katika moyo wa karne ya ishirini na moja: Hali yako ya ndani haitakiwi kuakisi hali yako ya nje!
Paulo alilisema mara mbili na mimi nitalisema mara mbili! Hali yako ya ndani haitakiwi kuakisi hali yako ya nje!
Ni rahisi sana kukatishwa tamaa na mazingira yasiyopendeza au kujaribiwa na mazingira yasiyokuwa na umuhimu mkubwa. Siku zote zitatokea nyakati katika maisha yako zitakazokufanya usiwe na furaha au kukufanya usiweze kuwa na manufaa yoyote. Lakini kusiwe na tukio lolote maishani mwako litakalokufanya uache kufurahi!
Hili linawezekana tuu unapofurahi "katika Bwana". Haiwezekani katika uninadamu wetu, lakini linawezekana katika Bwana.
Furaha yako ni matokeo ya mtazamo wako ukitazama uso wa Mungu mwenyewe! Kama mtazamo wako unaelekea katika maisha yako, kwa kadri uonavyo, utaona uwepo nchi kame isiyozaa matunda. Lakini ukichagua kuangali uso wa Baba, utahuishwa na upendo wake... amani yake... na wema wake!
Kama ukizimia leo kuishi maisha ya kutazama juu kuliko mazingira yanayokuzunguka, hutakuwa na muda wa kukalamika kwa sababu utakuwa umezama katika furaha ya uwepo wake. Hutasumbuka na kukata tamaa kwa sababu utakuwa umezama katika maisha ya kuabudu. Neno "msongo wa mawazo" litafutwa katika kamusi yako na utakuwa ukicheza katika Mungu!

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Biblia inatuambia kwamba "Katika uwepo wake kuna furaha tele" na kuwa "furaha ya Bwana ni nguvu yetu". Furaha sio hisia tu bali ni tunda la Roho na mojawapo ya silaha bora katika gala letu la kupigana na kuvunjika moyo, huzuni na kushindwa. Tumia siku 31 ukijifunza ni nini Biblia inasema kuhusu Furaha na kujiimarisha kuwa Mkristo mwenye Furaha bila wasi wasi.
More
Tungependa kushukuru Carol McLeodkwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.justjoyministries.com