Jolt ya FurahaMfano
Waraka kwa Wafilipi ni moja ya nyaraka fupi sana katiak Agano Jipya na uliandikwa na Paulo katika mwanga mdogo wa dirisha la gereza la Rumi. Kawaida mtu anapokuwa katika mazingira magumu ya maisha alitakiwa kuandika barua ya malalamiko kwa uongozi! Hakika mtu ambaye amepigwa na kuchubuliwa kwa ajili ya injili anapata nafasi ya kutoa hisia zake za maisha angalau mara moja! Hakuna kati yetu angemlaumu Mtume Paulo kama angechagua kuwa "halisia" na kuonesha kusikitishwa kwake na Mungu ... na maisha... na nchi aliyoteswa.
Badala yake , katika waraka huu mfupi aliouandika kwa kanisa lisilojulikana lililoanzishwa karibu miaka 2000 iliyopita, paulo anatumia maneno "furaha" au "kufurahi" si chini ya mara 14! Kwa bahati mbaya, tunadhani furaha kidogo tunayoiona katika maisha inastahili sifa kwa kila mtu anayetambua uwepo wetu. Tunapongezana wenyewe kwa kuimba kanisani hata kama tunamkwaruzano na wenza wetu.
Jambo moja ambalo tunaweza kujifunza kwa uhakika kutoka katika maisha ya Paulo, ni kwamba mazingira yetu hayahitaji kuwa makamilifu ili kuwa mkristo anayeonesha furaha ya mbinguni! Leo, mimi na Paulo, nachagua furaha! Wewe je?

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Biblia inatuambia kwamba "Katika uwepo wake kuna furaha tele" na kuwa "furaha ya Bwana ni nguvu yetu". Furaha sio hisia tu bali ni tunda la Roho na mojawapo ya silaha bora katika gala letu la kupigana na kuvunjika moyo, huzuni na kushindwa. Tumia siku 31 ukijifunza ni nini Biblia inasema kuhusu Furaha na kujiimarisha kuwa Mkristo mwenye Furaha bila wasi wasi.
More
Tungependa kushukuru Carol McLeodkwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.justjoyministries.com