Jolt ya FurahaMfano
Watu wa Yuda walikuwa wanakabiliwa na mashambulizi kutoka kwa maaduai wengi wakali na wasio na huruma. Walikusanyika katika nyumba ya Mungu kuomba na kutafuta msaada wa Bwana. Kwa matarajio makubwa, watu wote wa taifa hili walisubiri neno kutoka kwa Bwana. Je, wote watachinjwa? Je, nyumba zao zitachomwa moto? Je, wake zao na binti zao watabakwa?
Ghafla, Roho wa Bwana akamjia Yahazieli, mmoja wa wana wa Asafu. Yahazieli alikuwa kiongozi wa sifa! Familia yake iliongoza sifa kwa vizazi sita na katika njia panda hii ya historia, Mungu alizungumza na Yahazieli, " msiogope! Mungu yuko pamoja nasi, kwa kuwa Mungu atawapigania! Mnatakiwa kusimama kwa imani tu!
Maneno hayohayo yakasikika miaka yote kutoka kinywani mwa Yahazieli mpaka moyoni mwako. Mungu yuko upande wako na takupigania leo. Mungu yuleyule aliyegawanya bahari ya Shamu yuko upande wako. Mungu yule yule aliyempiga Goliati kwa mkono wa Daudi atakupigania. Mungu yule yule aliyefunga makanwa ya simba kwa ajili ya Danieli ndiyo kiongozi wa maisha yako.
Baada ya hapo Mfalme Yehoshafati alifanya nini? Alianguka kifudifudi mbele za Bwana na akamwabudu. Hilo linaonekana kama ushauri mzuri kwangu... wewe je? Unapokabiliwa na adui anayekuja kinyume na maisha yako, ungependa kufanya kama huyu mfalme wa duniani alivyofanya... alianguka kifudifudi mbele za Bwana na kumwabudu. Hilo lilitosha kwa Yehoshafati... yatosha pia na kwako. Hili halijalishi kama wewe ni mbaptisti au mpentekosti... mlutheli au mkarismatiki. Nakusudia kutumia muda wangu mwingi kila siku ya maisha yangu katika kuabudu kwa moyo wote. Ni nafasi ya nguvu na ushindi. Unapopigana vita iliyokubwa zaidi yako, ni nafasi ya kimkakati kwa wale wanaojua kwamba waliumbwa ili kushinda.
Mwishowe, Yehoshafati alifanya nini? Alisimama na kumsifu Mungu kwa sauti kubwa! Ninakusikiliza... uko tayari kuabudu na Yehoshafati? Sifa na zianze... karibu tutashinda!

Kuhusu Mpango huu
Biblia inatuambia kwamba "Katika uwepo wake kuna furaha tele" na kuwa "furaha ya Bwana ni nguvu yetu". Furaha sio hisia tu bali ni tunda la Roho na mojawapo ya silaha bora katika gala letu la kupigana na kuvunjika moyo, huzuni na kushindwa. Tumia siku 31 ukijifunza ni nini Biblia inasema kuhusu Furaha na kujiimarisha kuwa Mkristo mwenye Furaha bila wasi wasi.
More
Tungependa kushukuru Carol McLeodkwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.justjoyministries.com