Jolt ya FurahaMfano
Yesu alipitia majaribu na magumu mengi alipokuwa anaishi duniani kama mwanadamu. Msalaba ulikuwa zaidi ya majaribu na zaidi ya usumbufu. Msalaba ulikuwa maumivu! Ulikuwa mateso! Ilikuwa ni maumivu makali ambayo hayajawahi kutokea kwa mwanadamu. Yesu alivumiliaje msalaba na mateso ya mwili yaliyoelekezwa kwake?
Alivumilia msalaba, hata kama alidharau maumivu, kwa sababu ya furaha ambayo ilikuwa mbele yake. Ilikuwa ni furaha gani ambayo Yesu aliiona alipokuwa msalabani? Ni furaha gani ya kupindukia ambayo ilimfanya Yesu aiangalie wakati maumivu yalikuwa ni makali kuvumilia? Furaha iliyompa Yesu nguvu ya kuendeelea ilikuwa ni wewe... na ilikuwa mimi. Sisi ni furaha yake na yeye ni furaha yetu!
Yesu alijua kwamba inampasa kufabili sisi tuweze kuishi... hiyo ilikuwa ni furaha timilifu kwake! Yesu alijua kwamba imempasa kusulubiwa msalabani ili sisi tuwekwe huru na kifomcha kutisha ili tupone... na alihesabu yote hayo kuwa furaha!
Je, Yesu alipenda kile alichokipitia? Hapana... Biblia inatuambia alidharau mateso... lakini alifanya kwa sababu ya "furaha" yako. Tunaweza kuwa na furaha kwa sababu tunaye Yesu!

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Biblia inatuambia kwamba "Katika uwepo wake kuna furaha tele" na kuwa "furaha ya Bwana ni nguvu yetu". Furaha sio hisia tu bali ni tunda la Roho na mojawapo ya silaha bora katika gala letu la kupigana na kuvunjika moyo, huzuni na kushindwa. Tumia siku 31 ukijifunza ni nini Biblia inasema kuhusu Furaha na kujiimarisha kuwa Mkristo mwenye Furaha bila wasi wasi.
More
Tungependa kushukuru Carol McLeodkwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.justjoyministries.com