Jolt ya FurahaMfano
![A Jolt of Joy](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F228%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Hakika furaha ya Bwana ndiyo nguvu yetu na shetani anajua kwamba akiweza kukuibia nguvu zako, atakufanya dhaifu, mnyonge na mkristo asiyekuwa na athari.
Je, unajua shetani hatafuti afya yako? Unatambua kwamba shetani hajali sana ndoa yako au fedha zako? Na watotonwako hawana maana yoyote kwa shetani! Shetani anataka sana furaha yako ni kwa kuathiri afya yako, ndoa yako, fedha zako na watoto wako.
Shetani anajua hawezi kuzuia wokovu wako au msamaha ambao Yesu amekupa. Kwa hiyo anachojaribu kuiba ni bidhaa yenye thamani sana ambayo anaweza kuichukua kwa mikono yake. Shetani anabidii sana na anaweza kufanya chochote kukudanganya na kukupotosha ukatoka kwenye furaha yako.
Leo, ngoja nikupe changamoto ili usimame kwa miguu yako.. uso kwa uso na mshitaki wako wa ndugu na kumtangazia usoni kwake " shetani.. huwezi... na hutaweza!! Hutaweza kuchukua furaha yangu!"
Unapochagua kumdharau adui kwa furaha ambayo Yesu alikufa ili uipate, utakuwa na nguvu katika dunia ya sasa. Mungu anaweza kuwatumia wakristo wenye furaha wenye ujasiri wa kutosha kusimama katika furaha yao pasipo kujali yanayowazunguka.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
![A Jolt of Joy](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F228%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Biblia inatuambia kwamba "Katika uwepo wake kuna furaha tele" na kuwa "furaha ya Bwana ni nguvu yetu". Furaha sio hisia tu bali ni tunda la Roho na mojawapo ya silaha bora katika gala letu la kupigana na kuvunjika moyo, huzuni na kushindwa. Tumia siku 31 ukijifunza ni nini Biblia inasema kuhusu Furaha na kujiimarisha kuwa Mkristo mwenye Furaha bila wasi wasi.
More
Tungependa kushukuru Carol McLeodkwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.justjoyministries.com