Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 08/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

SIKU 21 YA 31

Mara nyingi tunapofanya kosa tunafunga macho na akili zetu tusitambue kuwa Mungu analiona. Neno la leo laonyesha wazi kwamba Mungu anaona kila kitu, naye atatoa adhabu kulingana na uasi anaouona. Ghadhabu yake hufungamana na wivu wake, yaani na jinsi anavyotupenda sana hata kutamani tuwe watu wake yeye peke yake. Tuna sababu nyingi za kumshukuru Mungu kwa vile alivyotuandalia njia ya kupona. Adhabu ya dhambi zote ilikwisha tolewa pale Kalvari kwa kafara, mateso na kifo cha Yesu.

siku 20siku 22

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

Soma Biblia Kila Siku 08/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli na 2 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana