Kukombolewa kwa ndotoMfano
Imani haifanyi tuwe na kinga dhidi ya misukosuko ya maisha. Kuna nyakati ambazo kazi hupotea, mioyo huvunjika,au wale tuanowapenda kuaga dunia mapema.
Kuna nyakati zingine tunaachwa katika ile hali ya kusubiri( na kusubiri na kusubiri) ndoto zetu kuja katika uhalisia. Ndoto ya kupata mtoto,ya kupata mwenzi au kwa ajili ya uhusiano kuregea kama ilivyokuwa awali. Kwa ajili ya yule mpendwa kuweza kuwachana na ule mwelekeo mmbaya au ugonjwa. Kwa ajili ya kupata mapumziko kule kazini. Mioyo yetu huachwa na uchungu wa kutaka kile ambacho hatuna kwa muda huu. Nyakati zingine, tunashikilia machungu kwa muda mrefu hadi matumaini yetu hupungua kufikia kiwango cha sisi kuwacha ndoto zetu, ilimradi tu yale machungu tusiwe nayo tena.
Mungu hujali ndoto zetu. Kwa kweli, Yeye huweka "ndoto za Mungu" katika moyo wa kila mmoja wetu. Lakini, nikiwa na tamaa ya ndoto zaidi ya Mungu,Mungu ambaye hutupa Ndoto,basi tutakuwa tumezifanya ziwe miungu zetu.
Tangu nilipokuwa umri wa miaka mbili, nilitaka kuwa muigizaji maarufu. Nikiwa mtoto, niliketi kwa masaa mbele ya kioo nikitengeneza wahusika . Unyanyasaji na unyonyaji ziliziba ndoto zangu zote, hata ile moja. Wakati nilipoanza kutembea na Yesu, tena nikaanza kufuatilia uigizaji tena. Nilikuwa nahifadhi kazi nakujenga kazi lakini, niligundua kuwa Mola ana ndoto nyingine tofauti katika maisha yangu kando na ile nilikuwa naifuatilia.
Kwa kusema ukweli, hamu ya uigizaji niliokuwa nao ulikuwa kama kupata kuhisi umuhimu ndani yangu. Mungu alitaka nipate kuelewa thamani yake, si kujulikana na umaarufu nilipata nikiwa muigizaji. Pia nilianza kuelewa kuwa Mola alitaka kutumia yale machungu ya kale kuleta matumaini na uhuru kwa wengine.
Niliamua kufuata ndoto ya Mungu katika maisha yangu mwaka wa 2003,nilianzisha hazina, ya kuwafikia wale walionyanyaswa kijinsia na kuuzwa . Kila siku, napata kuona maisha yaliyobadilika kama matokeo ya uamuzi wangu kufuata ndoto ya Mungu maishani mwangu! Kama ningeendelea kushikilia ndoto yangu ya kuwa muigizaji, au mbaya zaidi, niwache iwe kama miungu katika maisha yangu, ningekosa ndoto ambayo Mungu alikuwa nayo kwangu mimi!
Mungu atujali sisi,na anajali ndoto zetu pia. Anatujali kwa kiasi ambacho anataka kutuelekeza njia mbali na kile tunachotaka,ili aweze kutuongoza katika kile alichotupangia.
Kuna ndoto ya Mungu maishani mwako.Yaweza kuwa ni kitu ambacho unakielekea,au ni kitu ambacho hautarajii kabisa. Naamini kuwa unapoendelea kushikilia mipango na ndoto zako na mikono iliyo wazi,, na kumuamini na mwendo huo, atakuongoza katika ule uzima wakile alichokuwekea wewe.

Kuhusu Mpango huu
Tunafanyaje wakati ndoto zetu zinapoonekana kuwa haziwezi kutimia? Ukiwa umeshinda matusi na hofu, pamoja na kuvunjika moyo baada ya ndoa kuvunjika, ninakabiliwa na swali mara kwa mara. Ikiwa unapitia uharibifu wa tukio au hasara, au kuchanganyikiwa baada ya kusubiri jambo kwa muda mrefu, ndoto ya Mungu kwa maisha yako bado iko hai! Rafiki ni wakati wa kuwa na ndoto tena.
More
Tungependa kumshukuru Harmony Grillo (I Am A Treasure) kwa kutoa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea: http://harmonygrillo.com