Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 12Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12

SIKU 13 YA 31

Mungu ametugawia vipawa kila mmoja kwa namna yake na kwa viwango vinavyotofautiana. Anataka tuvitumie kumzalia matunda. Matunda haya ni kama vile kusaidia walio na uhitaji na kuwafundisha wengine njia ya Ufalme wa Mungu. Mwisho wa maisha yetu atatutaka kila mmoja amtolee hesabu ya matumizi ya vipawa hivyo. Hakuna muumini asiye na kipawa! Kama hujui alichokujalia, mwombe Mungu akufunulie, au waulize Wakristo waumini wenzako wanaokufahamu kwa karibu. Hakikisha kuwa, daima unatumia vipawa vyako kwa unyenyekevu na kwa ajili ya utukufu wa Mungu.

siku 12siku 14

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12

Soma Biblia Kila Siku 12 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kitabu cha Mwanzo, Mathayo, 2 Wa...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha