Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 12Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12

SIKU 15 YA 31

Mungu anajali tunavyotendeana duniani. Hapa pana picha ya huzuni kwa waliokuwa na fursa za kuwatendea mema wenzao, hasa wale wanyonge katika jamii, lakini wakapuuza kufanya hivyo. Pamoja na picha hii, katika neno la leo lipo neno la ajabu: Yesu anasema kwamba hao wasiohesabika kuwa kitu, wako mbele zetu kama Bwana wetu mwenyewe! Kuwapuuza ni sawa na kumpuuza Kristo mwenyewe. Mimi na wewe tunapaswa kuadibishwa na kubidishwa na ujumbe huu. Tuwatendee wenzetu mema kadri tulivyojaliwa. Tutajatoa hesabu.

siku 14siku 16

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12

Soma Biblia Kila Siku 12 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kitabu cha Mwanzo, Mathayo, 2 Wa...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha