Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 12Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12

SIKU 12 YA 31

Wakristo hufanana na wanawali kumi wanaomngojea Bwana Arusi. Na Bwana Arusi wetu ni Yesu Kristo. Sote tunangojea kurudi kwake ili tuingie katika karamu ya milele. Mfano wa mafuta unaotajwa pia, ni Roho Mtakatifu anayetuwezesha kuwa na imani hai na hivyo kumngojea Bwana kwa uaminifu. Lakini Roho Mtakatifu hutuwezesha kwa kiwango kile tunachomruhusu atusaidie. Tusipomsikiliza na kumtii, atatuacha, na tutaanguka kwenye ulegevu wa kiroho, hata Bwana akirudi atatukuta usingizini. Omba kuwezeshwa na Roho Mtakatifu kudumu katika imani hai siku zote.

siku 11siku 13

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12

Soma Biblia Kila Siku 12 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kitabu cha Mwanzo, Mathayo, 2 Wa...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha