Soma Biblia Kila Siku 7Mfano
![Soma Biblia Kila Siku 7](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F15759%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Leo twaona jinsi Paulo alivyotekeleza maneno yake mwenyewe ya 1 Wakorintho 9:19-23: Maana, ingawa nimekuwa huru kwa watu wote, nilijifanya mtumwa wa wote, ili niwapate watu wengi zaidi. Nilikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi ... Kwa wanyonge nilikuwa mnyonge ... Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu ...Swali: Mwinjilisti aliye Mbena au Mchaga akitaka kufanya uinjilisti kwa Wamasai, je, asipokubali k.m. kujifunza kusalimiana nao kwa lugha yao ataweza kweli kuwapata?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
![Soma Biblia Kila Siku 7](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F15759%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 7 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku pamoja na maelezo yatakayokusaidia kuelewa zaidi.
More
Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz