Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 4Mfano

Soma Biblia Kila Siku 4

SIKU 24 YA 30

Angalia sababu mbili za Paulo kuweza kuandika twajua uteule wenu(m.4): 1. Injili si maneno tu, bali Roho Mtakatifu hufanya kazi ndani yake. Kwa hiyo ina nguvu (m.5). 2.Wathesalonike waliipokea Injili kwa furaha ya imani (m.6). Kwa sababu ya nguvu yake, Injili hubadilisha maisha ya wale waipokeao. Ndio wale a)wanaojutia maovu yao, wakiacha kilichochukua nafasi ya Mungu maishani mwao (m.9), nab) wanaomtegemea Yesu, wakimfuata (m.6), kumtumikia (m. 9), na kumtazamia (m. 10). Utumie sababu hizo mbili, ukijibu swala hili, Je, umeteuliwa na Mungu?

siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 4

Soma Biblia Kila Siku 4 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Kitabu cha Kutoka, na 1 Wathesalonike, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha