Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 4Mfano

Soma Biblia Kila Siku 4

SIKU 29 YA 30

Kwa sababu ya upendo wa Paulo kwa Wathesalonike, hakuweza kuvumilia (m.1 na 5) hali ya kutokuwa na habari yao. Kwa hiyo akamtuma Timotheo awaimarishe kiimani. Amani na maendeleo si uthibitisho kwamba tu Wakristo wa kweli. Dhiki za Kikristo ni tokeo la kuipokea Injili. Huja kwa sababu ya wasioamini (mlipata mateso yale yale kwa watu wa taifa lenu wenyewe, waliyoyapata na hao kwa Wayahudi; ambao walimwua Bwana Yesu, na hao manabii, na kutuudhi sisi; 2:14f) na Shetani (m.5), wala si alama ya kwamba hatumpendezi Mungu. Tukidhikiwa, twahitajiana. Ukiwa mlezi, uwafariji watoto wako wa imani (m.2). Ukiwa mtoto kiimani, kusimama imara kwako humfariji mlezi wako (m.5)!

siku 28siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 4

Soma Biblia Kila Siku 4 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Kitabu cha Kutoka, na 1 Wathesalonike, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha