Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 4Mfano

Soma Biblia Kila Siku 4

SIKU 28 YA 30

Hali ya Mwimba Zaburi imebadilika kabisa. Amemlilia Mungu kwa uchungu (m.1-21), sasa anamshuhudia kwa jinsi alivyomwokoa asione kifo, na kuwashirikisha waumini sadaka yake ya shukrani (m.26). Mistari si unabii juu ya ufufuo wa Yesu, lakini yaeleza vizuri hali baada ya kufufuka kwake. Ushindi wake unatangazwa duniani kote (m.27), na Chakula cha Bwana ni chakula cha shukrani pia. Hapo waumini wa nyakati zote wanajiunga katika kumsujudu Bwana wao maana ufalme una yeye.

siku 27siku 29

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 4

Soma Biblia Kila Siku 4 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Kitabu cha Kutoka, na 1 Wathesalonike, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha